+254 718756944 | info@doctorngoso.com

Furaha yageuka karaha kwenye ndoa

Image

Watu wanapofikia kiwango cha kufunga ndoa huwa ni watu ambao tayari wamekaa kwa muda katika mahusiano na kuw Furaha yageuka karaha kwenye ndoa eza kufahamiana kwa kiasi fulani. Ama kweli ndoa vazi la stara. Katika mtaa mmoja kule Mtwara Tanzania alikuwepo mwanadada mmoja kwa jina Sabrina aliyekuwa ameolewa na mwanamume kwa jina la Shirima. Waliishi kwa furaha tele kwa muda mrefu sana bila misuguano ya hapa na pale. Kila siku mume wake akitoka kazini ilikuwa lazima angemletea vizawadi. Alipendeza sana na kunawiri kwani kila alichokitaka alikipata.

Baada ya muda Sabrina alipata uja uzito wa mume wake na hapo ndipo furaha iliongezeka hata zaidi kwani mumewe alitamani sana kujaaliwa mtoto. Ilipotimia miezi tisa, Sabrina alijifungua salama. Shirima alipopata habari kwamba mke wake amejifungua na tena mtoto wa kiume alipatwa na furaha isiyokifani. Alitoka ofisini mapema siku hiyo kwenda kumwona mkewe na malaika huyu mgeni. Alipofika hospitalini alimpata mkewe hana furaha kabisa, akashangaa inakuwaje kwamba kajifungua salama lakini hana furaha tena? Alipofunua yule malaika kiumbe alipigwa na mshangao mkubwa sana na pale kuanza kuzua varangati kwa mkewe na kumuita malaya kwani alisema huyo hakuwa mwanawe. Masaibu yalianza pale ambapo familia iliyokuwa yenye furaha sana ilianza kuwa yenye majonzi mengi kila uchao. Lawama yote kutokana na hali ya mtoto ikamgeukia Sabrina asijue afanyeje. Ulikuwa ni wakati mgumu sana kwake Sabrina kwani alianza hata kupokea kichapo na matusi yasiyokwisha. Ilifikia kipindi ambapo Sabrina alifukuzwa na mumewe na hapo akarejea kwao kwani alnusura afe mikononi mwa mumewe.

Aliporejea nyumbani kwao wazazi hawakumwelewa kabisa kwani hawakuwahi kuona mtoto mwenye kichwa kikubwa kiasi kile. Baada ya siku kadhaa nao pia walianza kumwona kama mtu mwenye mkosi kwa jamii yao na kuwa wanamkashifu kwa tatizo ambalo hakujua chanzo chake kwa kweli. Sabrina alikaa kwa huzuni sana kila wakati asipate wa kumsaidia, kwani kila aliyesema nae alimuona mwenye kasoro. Lakini kwa kweli Mungu hamwachi Mja wake. Siku moja alipokuwa akielekea kuteka maji kisimani,alikutana na baba mmoja mtu mzima ambaye aligundua lipo tatizo katika maisha yake. Sabrina alimueleza matatizo aliyokuwa akipitia na yule baba akamuelekeza kwa Dr. Ngoso alipowahi kuponea kisukari. Sabrina japo kishingo upande alikubali agizo la yule baba na kuandamana na mwanawe hadi kwa Ngoso kule ambapo aligundua kuwa tatizo lake lilikuwa dogo sana. Alipewa dawa ambazo alitakiwa kumpa mwanawe kwa siku kumi na tano pekee.

Zilipopita zile siku akifuata maagizo ya yule daktari Ngoso, kwa kweli kichwa kilirejea cha kawaida kama cha watoto wa rika lake na hapo Sabrina akarejea katika hali yake ya furaha, lakini akaapa kutorudi kwa mumewe kwani alimkataa wakati wa dhiki alipomhitaji zaidi. Ama kweli doctor Ngoso ni sehemu ya manufaa na utulivu wa moyo. doctor Ngoso wanauwezo pia wa kutibu magonjwa kama vile saratani ya kibofu, Ugonjwa wa moyo miongoni mwa mengine. Vile vile wanatoa huduma kama vile kupata kazi, kusafisha nyota, kulinda mali na hata kumrejesha mpenzi aliyetoroka.

More News

DOCTOR NGOSO SOLVES ALL LIFE CHALLENGES

I solve various problems such as catching thieves, finding a job, business attraction, luck, that is, winning a lottery, bringing back your wife or husband if they have gone to someone else, restoring your star if it has been damaged, fixing your home, quitting smoking and alcohol, treating witchcraft if you have been bewitched, opening your husband or wife sexually, protecting you from witchcraft, knowing the problem that troubles you, and...Read More

SOME BENEFITS OF THE MAGIC RING FROM DOCTOR NGOSO

  • The person who wears this ring gains luck and fortune in life.
  • It helps a person get promoted at work in any field.
  • Win lottery games.
  • This ring protects you when you are at home and even outside.
  • This ring also makes you attractive in front of people.
  • It can also bring you success in love.
  • This ring brings business attraction.
  • This ring helps a student remember answers during exams.
  • This ring protects you against dark forces.
  • This ring brings blessings and miracles to you.
  • Read More

    DO THIS TO GET A JOB IF YOU HAVE STRUGGLED FOR A LONG TIME

    Here on earth, there is no life without work; work is the foundation of life. It is through work that a person earns their livelihood (money). Work is a measure of dignity, work is respect, work provides for your needs, work gives you status. But the truth is that as the days go by, the difficulty of finding work increases. Technology, economic slowdown, and rapid population growth have led to fewer job opportunities until... Read More

    I HAVE BEEN BLESSED WITH THE GIFT TO HEAL USING TRADITIONAL AFRICAN HERBAL MEDICINES

    With over 35 years of experience, I treat and heal chronic diseases including epilepsy, male potency, diabetes, high blood pressure, pneumonia, tuberculosis, syphilis, gonorrhea, lung cancer, bone fractures, stroke, eye pain, toothache, stomach pain, back pain, bone pain, burning feet, poisoning, allergies, acne, loss of appetite, worms, blood cancer, snake bites, reproductive pain, menstrual pain, cholera, miscarriage, and...Read More

    DOCTOR NGOSO

    EXPERT IN CHRONIC DISEASES, PROBLEMS AND VARIOUS CHALLENGES

    Doctor Ngoso Newsletter

    Copyright © 2025 Doctor Ngoso

    Designed by Nyamakaka